Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

Kwa kujazia tu yule Mzee ana busara zake na sio chawa kwa hyo hao mabwana zako wanaokubashia wajipange na hoja za maana usituletee uchoko wako hapa mafi wewe
Mkuu,

Unanitukana mimi au hao niliowaelezea wasifu wa Warioba?
 
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.
Uzi ufungwe Kiranga amekata mtu ngebe.
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Uchawa hulemaza akili.
 
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.
Abishane na Nyerere kama Rais au? Unamjua vizuri Nyerere au? Nyerere alikuwa Dikteta wa kweli kweli!!
 
Kiranga huwezi kuwa serious, hivyo vitabu vimeandikwa awamu ipi?
Kwa nini swali hili liwe la muhimu?

Umuhimunwa swali hili ni upi kwa mtu anayeweza kufikiri kimantiki?

Kwa nini unakimbukia kuuliza kitabu kimeandikwa awamu gani?

Umesoma nilivyoandika kuhusu "collective responsibility" ilivyomfunga Warioba kuisema serikali wakati akiwa ndani ya serikali?

Umesoma ripoti ya Warioba kuhusu rushwa serikalini kipindi cha Mkapa?

Wakati huo Kipi alikuwa kaondolewa Ukuu wa Wilaya napo?
 
Hizi heshima za kikondoo ndiyo zinazoharibu nchi.

Kwenye serikali ya Nyerere Warioba hakuweza kukosoa wazi hadharani kwa sababu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Sheria alifungwa na kanuni za "collective responsibility" zikizowataka watumishi wa serikali kukosoana ndani ya vikao vya serikali, wakitoka nje watoke na kauli moja.

Sasa hivi Warioba ni mstaafu, hayupo kwenye serikali, hafungwi na kanuni za "collective responsibility", usimnyime haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni yake kwa uhuru.
INALETA MANTIKI ZAIDI HOJA ZAKE AKIZIWASILISHA IKULU MOJA KWA MOJA BADALA YA KUWA ANAZIACHIA AKIWA KWENYE MAJUKWAA. MH WARIOBA ANAO UWEZO WA KUINGIA IKULU KWA MUDA KAMA ANAVYOPENDA MWENYEWE
MTU KUTOFUNGWA NA RULE OF COLLECTIVE RESPONDIBILITY BADO HAKUMPI UHURU WA KUONGEA KWA NAMNA ANAVYOPENDA MWENYEWE
 
Unajuaje hajaziwasilisha Ikulu?

Akiziwasilisha Ikulu ndiyo kwingine asiseme?
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Wewe humjui Sinde Warioba kaa chini.
 
Serikali ikipuyanga ,isikosolewe, fikiria uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wagombea wa Upinzani walivyoenguliwa Kwa ,figisu ,kura kuongezewa Wana CCM ,raia wenye mrengo wa upinzani kutekwa,kuteswa,kupotezwa then,unataka huyu Mzee akae kimyaaa kana kwamba kuko shwari
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Uongo kabisa, Mzee Joseph Since Warioba kinachomkasirisha ni kuhusu Katiba iliyofichwa Toka 2014,tangu kipindi hicho katiba mpya hairanyiwi kazi wakati fedha nyingi zilishatumika katika kutungwa Kwa katiba mpya hadi hapo serikali itakapoamua?. Usipotoshe hasira za JSW.
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Ushoga na usagaji ni tabia chafu. Taifa Lina bahati mbaya kuwa na kijana Kama wewe, Bora baba yako angemwagia kamasi nje
 
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.
Vitoto vya mwaka 2000 vina shida sana; vimemjua Warioba juzi. Warioba alibishana na Nyerere na waziri mkuu wake bwana Sokoine kwa sheria yao ya uhujumu uchumi, alifikia hadi ku predict what could happen na ilitokea kweli hiyo prediction yake, Sokoine alikua anatisha those days, Warioba aliwakabiri both, PM na rais, huenda kipindi hicho huyo Kippi hata hakua kazaliwa, leo mtu kashiba zake kande huko anakuja na viji story vya kuokoteza. Miaka hi ya 2000, si ni Warioba aliyetofautiana na chama chake kuhusu katiba mpya na mfumo wa muungano? Mwanae alikua kanyang'anywa ukuu wa wilaya?
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Wewe ni MJINGA
 
Shukurani sana kwa kuweka rekodi swa.

Hapa JF hatuonani, ujue mara nyingine inawezekana tunabishana na watu wenye umri wa watoto wetu kabisa ambao hawajui historia kwa sababu miaka hiyo walikuwa hawajazaliwa na kusoma historia hawataki.
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Kumbe za ndani ambazo ni za machawa tu
 
Back
Top Bottom