Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.

Tatizo watu hawataki kujifunza/kupata historia kabla ya kutoa mawazo yao....wanaendeshwa na mihemko.
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Nchi hii imejaa WAPUMBAVU !! Huna akili
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Wewe ni mgeni hapa nchini?
 
ccm hawampendi warioba maana amewapa makavu (za uso), Mungu akujalie afya warioba maana ulisimamia vizuri sana katiba ya wananchi lkn wameificha
 
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.
Alikuwaa anabishana na Mwalimu wakiwa kwenye maongezi ya kiofisi na ya faragha; kitu ambacho ni very hrealthy kwa mtu yeyote mwenye busara; na si kwenye public kama anavyofanya sasa
Waziri wangu Mkuu wa kipindi nilipokuwa nasoma O-level naomba arekebishe hilo; kuna mahali anatakiwa arekebishe.
Hadi kufikia muda huu, Mheshimiwa Warioba anao uwezo wa kuingia Ikulu muda wowote na akawaeleza viongozi kile anachotamani kuongea
 
Hizi heshima za kikondoo ndiyo zinazoharibu nchi.

Kwenye serikali ya Nyerere Warioba hakuweza kukosoa wazi hadharani kwa sababu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Sheria alifungwa na kanuni za "collective responsibility" zikizowataka watumishi wa serikali kukosoana ndani ya vikao vya serikali, wakitoka nje watoke na kauli moja.

Sasa hivi Warioba ni mstaafu, hayupo kwenye serikali, hafungwi na kanuni za "collective responsibility", usimnyime haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni yake kwa uhuru.
 
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.

Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Sasa hao Machadema anaowapigania ndio watampa huyo Kipi ukuu? Si ajabu alizabuliwa makofi na DAB
 
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.

Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.

Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.

Acha siasa za majitaka.
Kwa kujazia tu yule Mzee ana busara zake na sio chawa kwa hyo hao mabwana zako wanaokubashia wajipange na hoja za maana usituletee uchoko wako hapa mafi wewe
 
Back
Top Bottom