MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 384
- 418
Badala ya kujibu hoja mnaleta ushuzi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
J. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
kwa hiyo wanataka tusijikosoe??????Mzee hajaanza leo kukosoa!
Ni utoto tu msamehe, akikua ataacha.Nyerere na Mwalimu?
Porojo gani?
Nchi hii imejaa WAPUMBAVU !! Huna akiliZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Tumbafu ya nyanda!! Washigije kuchinyangela duhuGwa ng"ana, namhala ng'weneyo wapandekaga lusalo
LusogoMimi naitwa Chiembe, rekebisha jina
Wewe ni mgeni hapa nchini?Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Ni kweli kabisa!kwa hiyo wanataka tusijikosoe??????
je alichosema Dr warioba sio kweli?
Mkuu,We kweli mwendawazimu, Warioba huyuhuyu chawa wa Mwalimu?
Yeah.Tatizo watu hawataki kujifunza/kupata historia kabla ya kutoa mawazo yao....wanaendeshwa na mihemko.
Alikuwaa anabishana na Mwalimu wakiwa kwenye maongezi ya kiofisi na ya faragha; kitu ambacho ni very hrealthy kwa mtu yeyote mwenye busara; na si kwenye public kama anavyofanya sasaJ. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.
Hizi heshima za kikondoo ndiyo zinazoharibu nchi.Alikuwaa anabishana na Mwalimu wakiwa kwenye maongezi ya kiofisi na ya faragha; kitu ambacho ni very hrealthy kwa mtu yeyote mwenye busara; na si kwenye public kama anavyofanya sasa
Waziri wangu Mkuu wa kipindi nilipokuwa nasoma O-level naomba arekebishe hilo; kuna mahali anatakiwa arekebishe.
Hadi kufikia muda huu, Mheshimiwa Warioba anao uwezo wa kuingia Ikulu muda wowote na akawaeleza viongozi kile anachotamani kuongea
Watoto wakianza kuota meno, wanatafuna hata sarafu!Mawazo ya vitoto vya 2000 haya. Hakuna rais huyu mzee hajawahi kumkosoa ikitokea amekengeuka. Waulize wakubwa wako wanajua. Usiwe unakimbilia kuandika. Sawa ndugu?
NB. Sio kwa ubaya
Sasa hao Machadema anaowapigania ndio watampa huyo Kipi ukuu? Si ajabu alizabuliwa makofi na DABZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
Kwa kujazia tu yule Mzee ana busara zake na sio chawa kwa hyo hao mabwana zako wanaokubashia wajipange na hoja za maana usituletee uchoko wako hapa mafi weweJ. S. Warioba alikuwa anabishana na Nyerere wakati Nyerere ni rais na Warioba ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alikuwa anamfundisha sheria Nyerere bila woga, mpaka Nyerere anakubali kushindwa.
Hajaanza hivi karibuni kukosoa uongozi.
Acha siasa za majitaka.