Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Alichokisema Kina ukwel ama hakuna? Nathan ungepinga Kwa hoja alaf mwshon utuonyeshe ni chuki binafsi tuu Kwa kuunganisha na iyo tuhuma yakoZa ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya.
Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.