mtazamo wa mashabiki pia upo'',..na maamuz mengine hata kama sio kocha unayaona tyu ni maamuziless
Roy Hodgson amewapendelea Harry Kane na Wayne Rooney na hawa hawakuwa makini zaidi kwenye umaliziaji.
England jana wameonyesha kwamba walikosa kiongozi uwanjani na hili pia ni tatizo.
Nafikiri atabadilisha timu dhidi ya Wales lakini hawezi kumuacha Rooney kwenye bench.
Ila madai yako kwamba Hodgson ana chuki juu ya Vardy naona kwamba "it's a bit harsh".
Sasa ni dhahiri kwamba kocha huyu kikongwe anazo chuki binafsi.
Katika hali ya kawaida huwezi kumwacha benchi Jamie Vardy kama unataka kushinda , hii ni ajabu !
Ukiangalia kwa makini Vardy kila nafasi anayopata ndani ya 18 hesabu ni goli , habahatishi , kwenye game kama hizi usitarajie kupata nafasi nyingi sana , kwahiyo unahitaji mchezaji mwenye uwezo na asiyefanya ajizi kama Vardy .
First touch yake haina mfano , sasa unamuachaje benchi ?
Alimuacha DrinkWater akaleta mshangao dunia nzima , sasa hii shilingi nyingine anayoichezea itamrudisha nyumbani mapema sana , Hakuna striker wa England wa kumuweka benchi Vardy , utake usitake .
Swadakta .ndio maana kina Gary Neville, Jamie Carragher,akina Henry wapo,kwa performance ya vardy Sio ya kumuweka bench 90' min
Tupeni timu , mkimng'ang'ania mkwasa mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu milele .watanzania wanaujua sana mpira, sijui ni kwa nini timu yetu huwa haifuzu kushiriki mashindano!
Sasa mlimuitia nini ? Hizo ni propaganda tu , ngoja nikuulize kitu , hivi barcelona inacheza sawa na argentina ? Mpira ni kama baiskeli ukiujua umejua tu , yule kocha anasumbuliwa na uzee .Ni suala la formation ya timu. Vardy ni mchezaji mzuri sana lakini ili timu iweze kufaidika naye, lazima watumie mfumo kama wa Leicester City. Wanaita building the team around a certain player.
Kwa hiyo unachukua wachezaji 11 wanaojua mpira mengine yatajipa uwanjani?Sasa mlimuitia nini ? Hizo ni propaganda tu , ngoja nikuulize kitu , hivi barcelona inacheza sawa na argentina ? Mpira ni kama baiskeli ukiujua umejua tu , yule kocha anasumbuliwa na uzee .
Ushahidi - imemchukua dk 10 tu Jamie Vardy kufunga goli , kaingia dk 46 kasawazisha dk ya 56 , Aibu kubwa sana imfikie Roy Hodgson na familia yake .Kwa hiyo unachukua wachezaji 11 wanaojua mpira mengine yatajipa uwanjani?
Kamuingiza dk ya ngapi ? Hii game ilitakiwa iishe mapema sana , poor Hudgson !Leo kocha ameacha chuki kwa Vardy?!
Una maana gani ?Kumbe huangalii mpira!
Mechi inayofuata akicheza na wakashindwa utasema nini..? timu nzima mbovu
Stelling na Wilshere hata benchi wasingekaa! Kikosi mbele lazima kingekuwa na 4-4-2 mbele Vardy na Kane pmbeni Roney na Milner,kati Dier na Ali hapo full mzigo anapigwa yoyote
1966.England hata wafundishwe na nani, hawana wanachojivunia zaidi ya history ya mwaka sijui mwaka gani walichukua world Cup karne sijui ya ngapi vile,