Chuki za Roy Hodgson kwa wachezaji wa Leicester city kuiondoa England mapema euro 2016

Ha! Ha! Ha! Jana wamepoteana hadi wengine wanazungumza kimakonde !
Yaah jana tulipoteana tatizo mashabiki wengi hawajui kuwa kibaya chako na tikiti bovu lipo shambani mwako nitaendelea kuwa shabiki wa England ndo mahaba yangu yalipo .
Hapo ndipo unaposhangazwa na mapenzi na kitu flan.
 
Poleni wahanga .
 
Back
Top Bottom