Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Yaah jana tulipoteana tatizo mashabiki wengi hawajui kuwa kibaya chako na tikiti bovu lipo shambani mwako nitaendelea kuwa shabiki wa England ndo mahaba yangu yalipo .Ha! Ha! Ha! Jana wamepoteana hadi wengine wanazungumza kimakonde !
Hapo ndipo unaposhangazwa na mapenzi na kitu flan.