Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello family!!
Hebu fikiria kidogo kisa Cha kawaida mfano Mr X anamsema vibaya Mr Z kwa Mr Y kuwa Z si chochote ni fala hana pesa anaishi Sinza pa kishamba sana gari yake GX 100 japo iko fresh ila ya longtime kitambo yule bwege tu.
Cha ajabu Mr Y anaeambiwa hayo maneno anakaa Nyumba ya kupanga huko Makoka, hana Gari na pesa hamzidi Mr Z, na Mr Z huwa anagharamia sana bill kwenye vikao vya bar.
Je hasira za Mr X na hayo maneno anayosema kwa Mr Y kuhusu Mr Z kiuhalisia muathirika wa huo ujumbe ni Mr Y au Mr Z.
Tuwe makini kejeli na umbea vinaweza kukuathiri wewe msikilizaji kuliko mlengwa wa hizo habari.
Fikiria anaesemwa ujumbe wote yeye anakuzidi halafu msemaji kajiachia maneno ambayo kimsingi inabidi yakuchome wewe.
Tafakari chukua hatua motivational speakers wapo wa aina nyingi.
Wadiz na fikra kabla ya game ya Liverpool.