Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa.
Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza.
Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri.
Swali linakuja je nitajuaje kuwa mchumba huyu ananifaa kuishi naye?
Ile dhana ya kumchukua na kuishi nae ili uchunguze tabia yake haiko sawa,inampotezea mwanamke muda na kumshushia heshima na kumfaidisha mwanaume.
FANYA HIVI
Kijana unapokuwa kwenye uchumba kila mtu aishi kwake lakini fanya juu chini muwe mnatembelea mara kwa mara. Kama bint anaishi kwa wazazi tumia muda mwingi kidogo unapoenda kwao,ukifika kwao chunguza jinsi mke mtarajiwa anavyoshuhulika na watu wengine. Kama kapanga je anaelewana na wapangaji wengine? Anaishi nao vipi?
SIFA ZA MWANAMKE ANAEFAA
Ana heshima,anajizuia,anajali na ana ufikirio kuelekea wengine. Je anampenda Mungu?
SIFA ZA MUDA MFUPI
Ukaribu na wewe:-muda mwingine ni muhemko tu wa kufanya ngono na wewe,mkishazoeana hii inaishaga.
Uzuri wa nje:- unaishaga unaweza kupatwa na jambo lolote likaharibu sura yake.
Mambo utakayoyaona kwa mchumba wako kaa ukijua ndio mambo utakayokutana nayo ukiweka ndani.
Huwe kumpata mke bora kwa kutoka nae siku moja moja tu na kuchat nae sababu ni rahisi kukuficha sifa zake.
HITIMISHO
Mambo anayofanya mke watu wengine ndio huwa anafanyia mume wake.
Je mkeo ana tabia gani anaposhuhulika na wengine?