Chukua hii bure,Kwa wanaume walio OA tu.

mkeo useme ni mwizi? hela yoyote iliyoko ndani ni mali ya familia hutakiwi kuhoji imetumikaje au imefanya nini, ukiwa na hela ni mkeo tu mwenye haki ya kuchukua na kutumia si vinginevyo kwani lazima akuombe nipe la hasha si anaenda tu kwenye mfuko wa suruali anachukua anatumia kwani zinatoka nje ya nyumbani kwenu. tuwaache sio wezi ni watunzaji wa mali zetu na walezi wa familia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utasababisha manka anichome kisu sio kwa wivu wake ule
 
Mkeo utamwitaje mwizi?
Kumbuka huo ni mwili wako.
Mweleze tu kwa upole atakuelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana aseee hio mbinu baki nayo..
Mana kuna wanawake wamejaaliwa kuongea jamani acha tu, ni bora aendelee kubeba hizo chenji.
 
Kama huyo mwizi yupo jf hii njia itakuwa ngumu kumkamata
Nakuhakikishia lazima tu utamkamata. Yuko radhi kupokea adhabu yoyote utakayoamua kumpa kama mwizi lakini maumivu atakayoyapata kwa kuona hiyo Condom na kipimo yatamfichua tu
 
ka ulikuwepo kwenye akili zangu nilitaka kumuuliza hichohicho. mhh jamani mke anakuaje mwizi
 
Hivyo vingine nimeelewa kasoro hiyo kandamu
 
yani na wewe Musundi una kubaliana kuwa mke wa mtu anaweza akaitwa mwizi na mumewe kweli, kwani alichonacho mumewe si cha kwake na ana haki ya kutumia kama atakavyo au
Nakuhakikishia lazima tu utamkamata. Yuko radhi kupokea adhabu yoyote utakayoamua kumpa kama mwizi lakini maumivu atakayoyapata kwa kuona hiyo Condom na kipimo yatamfichua tu
 
yani na wewe Musundi una kubaliana kuwa mke wa mtu anaweza akaitwa mwizi na mumewe kweli, kwani alichonacho mumewe si cha kwake na ana haki ya kutumia kama atakavyo au
Tatizo lipo hapo "kutumia atakavyo"! Vingine anatakavyo havina faida kwa familia na pengine huyo mke anunulie hivyo wakati mahitaji muhimu ya familia ndani hakuna. Ridhaa ya mume iwepo hasa pale akiba ya cash inapokuwa limited...
 
Yakikukuta utakuja hapa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…