Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
mkeo useme ni mwizi? hela yoyote iliyoko ndani ni mali ya familia hutakiwi kuhoji imetumikaje au imefanya nini, ukiwa na hela ni mkeo tu mwenye haki ya kuchukua na kutumia si vinginevyo kwani lazima akuombe nipe la hasha si anaenda tu kwenye mfuko wa suruali anachukua anatumia kwani zinatoka nje ya nyumbani kwenu. tuwaache sio wezi ni watunzaji wa mali zetu na walezi wa familia.