Chukua hii bure,Kwa wanaume walio OA tu.

Chukua hii bure,Kwa wanaume walio OA tu.

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Ukiona kila siku kuna pesa inapotea kwenye wallet yako Kila wakati unapo ondoka home asubuhi. Basi wala hata usiumize sana kichwa kumtafuta mwizi wako,we Nunua packet 1 ya Dume au Salama(kandamu), katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mwenyewe.[emoji1] [emoji1]
hatuwezi zidiwa akili na wezi sisi.
 
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utamkamata ila kwa mbinde[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ukiona kila siku kuna pesa inapotea kwenye wallet yako Kila wakati unapo ondoka home asubuhi. Basi wala hata usiumize sana kichwa kumtafuta mwizi wako,we Nunua packet 1 ya Dume au Salama(kandamu), katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mwenyewe.[emoji1] [emoji1]
hatuwezi zidiwa akili na wezi sisi.
Ukisha mjua mwizi wako and then unachukua hatua gani? Kumbuka wizi ni tabia na kuiacha sio rahisi.
 
Hahaaa. Ni njia nzuri ila saa nyingine inaweza leta varangati la kufa mtu.

Sababu itabidi unyooshe maelezo ili upate kueleweka kama lengo ilikuwa kumjua mwizi.
Hapo ndio tutaleteana varangati juu ya Udokozi unaoendelea,[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom