Chukua hii bure,Kwa wanaume walio OA tu.

Chukua hii bure,Kwa wanaume walio OA tu.

Sijaoa kiongozi ndiyo maana labda umeona udhaifu huo kwenye comment yangu.

Sasa ukishagundua huwa anazichukua, kwanini usimweleze kwa upole na umakini!
Au ukitumia njia hiyo ndipo utafurahi?

Sitetei wizi bali naangalia uzito wa mke na kumfanyia ukatili huo
Hili bandiko lipo deep mkuu, ukifikia level hii means huwa tunahoji sana kupotea kwa Salio,ila kila MTU utasikia SIJUI tena anaongezea kwakusema "LABDA UMEHONGA" ahaa OK sawa
 
Back
Top Bottom