Chukua hii ya Usajili ujao wa Bongo na itunzeni tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huenda Mlevi wa upande Mmoja akamfuata Rafiki yake Mlevi HATARI wa upande mwingine au ikawa ni kinyume chake.
 
Wenye akili tumebaki wachache Tanganyika
Wakiongozwa na GENTAMYCINE ambaye Kutwa anachukiwa na wale wale ambao kila waingiapo JamiiForums ni lazima tu wapitie Mabandiko yake / Mada zake. Hakika ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu ni Raha sana yaani Mijitu Kutwa INAUBIRI Kukuchukia lakini bado tu Kimoyomoyo inakukubali na haisikii raha Siku ipite hawajasoma ulichokiandika. ASANTE SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUNIBARIKI PAKUBWA ZAIDI YAO.
 
Inaubiri!
 
Genta Mifootball

Screenshot_20240518-082819.png
 
Back
Top Bottom