Chukua hizi tips za ujenzi kuhusu Kuezeka nyumba za contemporary

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Tips za ujenzi
Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary
1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana)
2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30
3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta
4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana
5.Kuwe na njia nying za kutolea maji kushushia chini
6. Ukishapiga kenchi piga finishing zote kabla ya bati. Na ukishapiga bati asipande mtu huko juu bila sababu za msingi

Usiache kujifunza zaidi na zaidi elimu haina mwisho
Wako Eng James 0743 257 669
Kwa kazi za Ujenzi wa kisasa nitafute
 
Bila kuzungumzia Flash Cover pale bati zinapogusa ukuta unakua hujafanya kitu bado
 
namba 3 ni bado inazihirisha ni tatizi

namba 6 ndio shida zaidi yaani mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…