Odehaya mwanakwaπ
hutaki utongozw eeeh nani mbe wako?
ahahaha nimetuma salamu teyariYaani nilikua naangalia ningekuta hujanisalimia ungeona
My wetu msalimie sana unakotumaga salamu ππ€
ππππππdaah ila hata ingekuwa weweWe mbinguni hutoboi
ππmy wangu yaani mimi mwee ntaenda kuungama jumamosiMy wetu msalimie sana unakotumaga salamu ππ€
Mamdogo Amehlo mekupata, sema nini mamdogo, kuna mwamba kakuwahi shenzee taipu zakee..!!Ivan Stepanov unaweza usisalimiwe ngoja nikusalimie tu
Half american incase no one atatuma salamu kwako utatumia hii
Ngalikihinja ba mdogo nakusalimu
[emoji38]
Mamdogo, huko kunakoitwa mbinguni, nikikukuta wallah natoka, maana najua ntakuwa nimeingia chaka..!! Huko najua kutakuwa ni motoni tu mamdogo wallah tena..!! Si kwa kuwaza huko mamdogo.ππππππdaah ila hata ingekuwa wewe
Ukutane na heading tu chukua mic tuma salamuππ ungewaza nini
Ba mdogo ni leo tu nimeteleza siko hivo nakuhakikishia ππMamdogo, huko kunakoitwa mbinguni, nikikukuta wallah natoka, maana najua ntakuwa nimeingia chaka..!! Huko najua kutakuwa ni motoni tu mamdogo wallah tena..!! Si kwa kuwaza huko mamdogo.