Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Natuma Salam kwa Gily mwarabu mwenye macho mazuri 😁 natuma Salam pia kwa Baba wao ni wao popote alipo zamu ya hospital au nyumbani, salamu zingine zimfikie mkali wao wa kuandika JBourne59 Baba Hamida 😁 zingine ziende kwa mpenda mashangazi Analyse salamu za mwisho kwa mwanangu mwenyewe leadermoe rest well man tutaonana baadae.
Huyo Gily ni mburushi alaf anasema yeye mchaga 😅😅😅

Nashkuru sana Nourhan kwa hizi salamu, zimenifikia. Sema ntafutie shangazi yeyote karibu hapo anitulize, niko hovesi
 
Kwamba waje kutubu kwa muanzisha uzi WA MIC..!! Dah..!! Wallah tutafika motoni hoiii..!!! Haya mamdogo Amehlo, Lenie na dada To yeye muungamishaji yupo tayari, nendeni. Sema kwa ninavyomjua muungamishaji, andaeni jibu la swali la mmetumia mic ngapi na za aina gani kutuma salamu mpaka sasa. Na mmetuma salamu kwa wangapi..!! Kama MIC zinajaa kwenye SAULI semeni tu..!!
😀😀😀😀sauli 3, al saedy 2 na majinja 1
 
Back
Top Bottom