Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Huyo Gily ni mburushi alaf anasema yeye mchaga 😅😅😅Natuma Salam kwa Gily mwarabu mwenye macho mazuri 😁 natuma Salam pia kwa Baba wao ni wao popote alipo zamu ya hospital au nyumbani, salamu zingine zimfikie mkali wao wa kuandika JBourne59 Baba Hamida 😁 zingine ziende kwa mpenda mashangazi Analyse salamu za mwisho kwa mwanangu mwenyewe leadermoe rest well man tutaonana baadae.
Nashkuru sana Nourhan kwa hizi salamu, zimenifikia. Sema ntafutie shangazi yeyote karibu hapo anitulize, niko hovesi