Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Lenie chukua hela hapo mezani, Kisha muite mpwa wangu Leejay49 , mwambie aende kwenye duka la mangi Gily anunue mahitaji ya leo. Patakuwa na ugeni mkubwa sana, maana Joannah kasema anamleta rasmi Equation x aje tumtambue, kwa maelezo niliyopata, huyu mkwe wetu ni mchanganyiko wa mbegu ya kiafrika na ulaya, kiufupi ni Half american , amesoma, anaelimu nzuri ya biashara, vijana wa mjini wanasema ni Intelligent businessman , sio maneno yangu hayo ni To yeye mwenyewe ndio kasema.

Hakikisha taarifa zinafika kwa majirani zetu Lovie Lady na Nourhan ili waje kusaidia kupika, maana Lovelovie peke yake hatoweza. Ila usialike watu wengi, Watu8 wanatosha. Mwambie Mzee wa kupambania ahakikishe tunapata matent, maana mvua inaweza kunyesha.

Pia kama una namba ya Depal plz mpigie, nasikia ni mpambaji mzuri sana. Ila usisahau kumkubusha Dejane aje in time, aje na dada yake Nuzulati , kuhusu Antonnia Sina shaka, maana yeye ndio mc.

Amehlo na Shunie nimesikia watakuja na upande wa mume. Dahan ni camerawoman leo, mwambie apige picha nzuri, na kuhusu malipo yake, asijali because I am The Boss
Naomba niwe meneja wako tuingie studio 🎙️ Gily mwarabu atakuwa promota 😁
 
Makini Sana mkuu
 
Natuma salami Kwa best zangu Hawa Glenn Mwachiluwi Dahan Lovelovie To yeye Half american ila wewe hunitajagi najikomba tu To yeye naomba maongezi na wewe kipenzi utakuwa na msaada kwangu , JamiiForums na @Moderators wote wa jf kazi iendelee na Samia wetu suluhu hasan wamama wote?
Thanks dear 😍

Back
Top Bottom