Lenie chukua hela hapo mezani, Kisha muite mpwa wangu
Leejay49 , mwambie aende kwenye duka la mangi
Gily anunue mahitaji ya leo. Patakuwa na ugeni mkubwa sana, maana
Joannah kasema anamleta rasmi
Equation x aje tumtambue, kwa maelezo niliyopata, huyu mkwe wetu ni mchanganyiko wa mbegu ya kiafrika na ulaya, kiufupi ni
Half american , amesoma, anaelimu nzuri ya biashara, vijana wa mjini wanasema ni
Intelligent businessman , sio maneno yangu hayo ni
To yeye mwenyewe ndio kasema.
Hakikisha taarifa zinafika kwa majirani zetu
Lovie Lady na
Nourhan ili waje kusaidia kupika, maana
Lovelovie peke yake hatoweza. Ila usialike watu wengi,
Watu8 wanatosha. Mwambie
Mzee wa kupambania ahakikishe tunapata matent, maana mvua inaweza kunyesha.
Pia kama una namba ya
Depal plz mpigie, nasikia ni mpambaji mzuri sana. Ila usisahau kumkubusha
Dejane aje in time, aje na dada yake
Nuzulati , kuhusu
Antonnia Sina shaka, maana yeye ndio mc.
Amehlo na
Shunie nimesikia watakuja na upande wa mume.
Dahan ni camerawoman leo, mwambie apige picha nzuri, na kuhusu malipo yake, asijali because I am
The Boss