Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

Chukua muda wa kuzipumzisha hisia

Aksante kaka Mshana kwa ujumbe mzuri .
Nilijifariji nimvumilie labda atabadiika Lakini ikawa kila siku afadhali ya jana,niliumia sana kumwacha aende siku za mwanzo lakini kwa sasa naona kama na recovery ingawa bado mawazo yananitesa nataman tungesikilizana na kuelewana naimani tungezeeshana.
MITHALI 4:23
 
[emoji1534][emoji1548][emoji1545] umeshatoka kipindi kigumu ...jipe muda zaidi yatakwisha
 
Aksante kaka Mshana kwa ujumbe mzuri .
Nilijifariji nimvumilie labda atabadiika Lakini ikawa kila siku afadhali ya jana,niliumia sana kumwacha aende siku za mwanzo lakini kwa sasa naona kama na recovery ingawa bado mawazo yananitesa nataman tungesikilizana na kuelewana naimani tungezeeshana.
MITHALI 4:23
Pole sana mkuu,huo mziki uliouopitia ndio naucheza sana hadi sio vizuri. Mbinu zote za usuluhishi zimegonga mwamba ***** lakini mwisho wa siku hawa viumbe sio wa kuwawekezea hisia na kuwaamini 100%.
 
Ni hatar sana boss ilifika mahali nkawa naskia maumivu makali sana ya moyo naimani kama nisingechukua maamuzi magumu mapema saa hii nisingekuwa napost jf
 
giphy.gif
 
Hakuna cha kurest wala kurestore, kimetoka kitu kiingie kitu [emoji56]
Bandika bandua bandugu! Unayaweza kwakweli! Wengine hawana roho hiyo ni msiba, ni maombolezo ni vilio mwanzo mwisho[emoji2]
 
.
 
Attachments

  • 20230424_105620.jpg
    20230424_105620.jpg
    83.6 KB · Views: 5
Zijapopita siku za furaha usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako [emoji25]
Screenshots_2023-04-24-12-24-15.jpg
 
Back
Top Bottom