Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida inakuja moyo unapokuwa radhi lakini mwili ukawa dhaifu ukakosa ujasiri wa kumwacha aende very very painful n difficult decision to makeMapenzi yanauma ila kumwacha aende ndo suluhisho ya yote!!!
We mwache aende, kuna furaha zaidi mbele yako kuliko yeye!! Siku zote amini hakuwa wako na wakati ukifika ukifika utampata wa kufanana nae....
Just let her/him go!!!!!!
Moyo ukikubali mwili utazoea tuu kuna mahali uvumilivu hufikia kikomo ni maamuzi yanayoumiza lakini kwa usalama wa moyo na nafsi ni lazima umwache aende.Shida inakuja moyo unapokuwa radhi lakini mwili ukawa dhaifu.. Ukakosa ujasiri wa kumwacha aende.. Very very painful n difficult decision to make
Ni kweli.Moyo ukikubali mwili utazoea tuu!! Kuna mahali uvumilivu hufikia kikomo!!! Ni maamuzi yanayoumiza lakini kwa usalama wa moyo na nafsi ni lazima umwache aende!!!
Ahsante sana kaka mshana Jr. Nime kuelewa vizuri sana Ngoja nipumzishe hisia zangu.Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati ulipokuwa unamhitaji sana
Mapenzi yanaumiza mapenzi yanatesa lakini ni muhimu kuangalia ulikotoka.. Maisha yako ni muhimu kuliko yeye.. Hakuwapo Kabla... Kisha akaja... Mwache aende... Future yako yaweza kuwa muhimu kuliko yeye...
Umewekeza kwake sawa... Ulimkabidhi moyo wako sawa.. Lakini kama hana hisia nawe, kama hana shukrani... Kama hakupendi tena na kama kakutenda mwambie waweza kwenda... Akuachie japo pumzi yako... Isifike mahali nayo akaondoka nayo...!!!
Ili kutambua upande wa pili wa mapenzi ni lazima kuumia ni lazima kuumizwa.. Usione ndio mwisho wa maisha, chukulia kama ni changamoto... Mitihani ya dunia
Wewe si wa kwanza hutakuwa wa mwisho... Vumilia... Muda pekee ndio utayaponya majeraha ya mapenzi... Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya unaweza kuingia chaka... Utafanya hivyo kwa ghadhabu na bila fikra timilifu.. Unaweza kuongeza tatizo badala ya kuponya majeraha....
Zipumzishe hisia... Mapenzi yanachosha sana... Jipe muda wa kutafakari upya... Ulipokosea ulipopatia, uliposhindwa kutimiza wajibu... Ulipotenda kwa weledi na chochote utakachoweza kutafakari... Baada ya kuona umepata nguvu ya kuanza tena... Fanya hivyo bila papara... Epuka uzuri wa mkakasi.....
Zijapopita siku za furaha usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako.. [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji781] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji770]
Huyu yuko vizuri kimaarifa na kiuandishi, shida ni sisi wasomaji wake!Leo utafanya wengi wajitafakari aiseeee hata waliomo kwenye ndoa.. kumbe unajua kuandika mada za kushauri pia!!
Kama IPO ipo tuuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] utapendwa tena... Utapenda tena...!!
Huyu yuko vizuri kimaarifa na kiuandishi, shida ni sisi wasomaji wake!
Shida iko WAP tenaHuyu yuko vizuri kimaarifa na kiuandishi, shida ni sisi wasomaji wake!
Tafsiri zetu!Shida gani!?
Tafsiri zetu!
Sio kila! Wengi!Imekuwaje hadi unaongelea kila msomaji kuwa ni hivyo?
Wahenga wakiamua, madini mengi tuNilimisi topic za mahusiano za namna hii...
Za kihekima...
Shukran