Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

Asante kwa kutujuza mkuu nimependa ulivyoandika unakipaji Cha uandishi napenda Sana movie za kikorea Hawa watu wako vzuri naomba nielekeze nyie mnadownload vipi
Ahsante sana Kipozi.

Movies za kikorea ni the best kwenye thriller na mysteries. Usipate shida kwenye kuzipakua movies uzipendazo, hakikisha tu una application ya Telegram kwa simu yako (ipo playstore) kisha zama kwenye hii link...

Movies Na Stories
 
Movie moja inaweza chukua Mbs ngapi mkuu maana wengine bundle za hesabu[emoji28]
 
Movie moja inaweza chukua Mbs ngapi mkuu maana wengine bundle za hesabu[emoji28]
Hahaha mkuu, huwa napost movies quality tu hivyo kwa kiasi fulani huwa na MBs.

Cha kushauri, tumia bundle la unlimited la usiku kudownload pasipo tatizo na utakavyo.
 
uyitio.PNG

SteveMollel tupo pamoja mkuu
 
Mimi natumia Halotel Unlimited Bundle la usiku. Ni alfu na mia tano na kasi ya ukweli vilevile!

Unashusha vitu mpaka raha
Halotel tatizo lao nikiwa madale mtandao unazingua kweli mpaka nikahama kwa hasira na kuingia zantel
 
Back
Top Bottom