Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

Kwa wapenzi wa korean series mambo ya mystery hii sio yakukosa
images(66).jpg
 
Asante kwa kutujuza mkuu nimependa ulivyoandika unakipaji Cha uandishi napenda Sana movie za kikorea Hawa watu wako vzuri naomba nielekeze nyie mnadownload vipi
kwenye uandishi tu huyu jamaa hata Shigongo hagusi! Kati ya mwaka 2017/18 alitikisa sana akili zetu hapa jamvini na tamthilia zake zisizoisha utamu...

Kila saa 3 au 4 watu tulikuwa kila baada ya sekunde tunachungulia kama amepost au lah!
 
Hahahaha mkuu unanikumbusha mbali sana kwenye mambo yetu ya Anga la Washenzi.
 
Yah nakumbuka makala zake nlikua napenda Sana ukisoma Kama unaangalia movie vle yupo vzuri
kwenye uandishi tu huyu jamaa hata Shigongo hagusi! Kati ya mwaka 2017/18 alitikisa sana akili zetu hapa jamvini na tamthilia zake zisizoisha utamu...

Kila saa 3 au 4 watu tulikuwa kila baada ya sekunde tunachungulia kama amepost au lah!
 
Mbna mkuu hudondoshi zle movies kama 365 day....yaani nusu movie nusu mapenzi
 
Hahah life lilikuwa poa sana mkuu kipindi kile yani ile tamthilia ni zaidi ya movie!

Itoshe kusema mkuu umetusaliti mashabiki wako hapa jamvini
Kazi tu zinabana mkuu wangu. Nikipata wasaa ntarejea kwanguvu zote
 
Back
Top Bottom