Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

steve naomba link ya kudownload avengers endgame au movie yoyote sipendi hizo za kutisha
 
steve naomba link ya kudownload avengers endgame au movie yoyote sipendi hizo za kutisha
Sijaweka movie ya kutisha (horrors) hapo. Ni za kusisimua (thrillers) tu na kufikirisha (mystery).

Anyway, njoo kwa channel yangu ntaziweka leo uzipakue

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Me napenda sana movi hila zilizo tafsiriwa kwa KISWAHILI kama unaeza ukawa unatupia na madj wa kings media ndo wapo vizuri kwa single movie Kari
 
Mkuu Ulikuwa umepotea sana, ila safi tunaliendeleza ligi letu tena👍👍
 
Muda wa kuangalia movie mnaupataje??
Jobless???
 
Me napenda sana movi hila zilizo tafsiriwa kwa KISWAHILI kama unaeza ukawa unatupia na madj wa kings media ndo wapo vizuri kwa single movie Kari
Ikiwezekana akamatie na mic azifafsiri sieti?
 
I wonder!! Does watchin movie pay you guys? Do you watch movies when you're working?? If not and you waste your time on it.. you're foolish
Mzee unafahamu kitu kinaitwa hobby? Yani kitu upendacho kufanya ukiwa free? Kama unakijua basi sisi hii ndo hobby yetu kama ilivyo swimming, clubing, reading kwa wengine

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom