SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
-
- #21
Ahsante sana Kipozi.Asante kwa kutujuza mkuu nimependa ulivyoandika unakipaji Cha uandishi napenda Sana movie za kikorea Hawa watu wako vzuri naomba nielekeze nyie mnadownload vipi
Asante kwa kutujuza mkuu nimependa ulivyoandika unakipaji Cha uandishi napenda Sana movie za kikorea Hawa watu wako vzuri naomba nielekeze nyie mnadownload vipi
Ahsante sana Kipozi.
Movies za kikorea ni the best kwenye thriller na mysteries. Usipate shida kwenye kuzipakua movies uzipendazo, hakikisha tu una application ya Telegram kwa simu yako (ipo playstore) kisha zama kwenye hii link...
Movies Na Stories
Google kissiassian.sh utazipata humo
Movie moja inaweza chukua Mbs ngapi mkuu maana wengine bundle za hesabu[emoji28]Ahsante sana Kipozi.
Movies za kikorea ni the best kwenye thriller na mysteries. Usipate shida kwenye kuzipakua movies uzipendazo, hakikisha tu una application ya Telegram kwa simu yako (ipo playstore) kisha zama kwenye hii link...
Movies Na Stories
Hahaha mkuu, huwa napost movies quality tu hivyo kwa kiasi fulani huwa na MBs.Movie moja inaweza chukua Mbs ngapi mkuu maana wengine bundle za hesabu[emoji28]
unatumia mtandao gani mkuu?Movie moja inaweza chukua Mbs ngapi mkuu maana wengine bundle za hesabu[emoji28]
Tigo mkuuunatumia mtandao gani mkuu?
dah kwa tigo sijui kama wana unlimited data bundle ila mimi natumia airtel wana gb 10 saa 6 usiku mpaka saa kumi na mbili, karibu airtelTigo mkuu
Thanks!Unlimited data bundle yao ni tsh ngapidah kwa tigo sijui kama wana unlimited data bundle ila mimi natumia airtel wana gb 10 saa 6 usiku mpaka saa kumi na mbili, karibu airtel
Sio list ya movie bora mkuu, bali pendekezo tu.Bila Tenet hii list ni batili
Mimi natumia Halotel Unlimited Bundle la usiku. Ni alfu na mia tano na kasi ya ukweli vilevile!Thanks!Unlimited data bundle yao ni tsh ngapi
Pamoja sana boss!
1500Thanks!Unlimited data bundle yao ni tsh ngapi
Halotel tatizo lao nikiwa madale mtandao unazingua kweli mpaka nikahama kwa hasira na kuingia zantelMimi natumia Halotel Unlimited Bundle la usiku. Ni alfu na mia tano na kasi ya ukweli vilevile!
Unashusha vitu mpaka raha