Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Ahahahaha hakika sielewi kabisaSisi watu wa mafyati, mimi na ndgu yangu Poor Brain ukituambia habari za mzee yusufu unatuchanganya hakika.
Mara naskia faza mauji anachana nyuzi
Ahahahaha hakika sielewi kabisaSisi watu wa mafyati, mimi na ndgu yangu Poor Brain ukituambia habari za mzee yusufu unatuchanganya hakika.
Anaitwa Prince Amigo, ukitaka kumsikiliza zaidi tafuta wimbo wa Jahazi unaitwa Domo kaya.Ile biti ilisukwa mzee, sema yule jamaa aliyeimba before mzee yusufu ana sauti nzuri sana.
Ulikuwa sio wimbo wa public au wimbo rasmi, ni wimbo wa tangazo la Radio times ndio maana hata kwenye album za Jahazi zote huo wimbo haupo. Ulikuwa haupigwi station yoyote ya radio zaidi ya Times FM ila kwa vile ulitokea kupendwa ndio watu wakawa wanao na pia ulikuwa unapigwa sana kwenye miziki ya kukesha maarufu Vigodoro huko Uswahilini enzi hizo. Maudhui yote ya wimbo huo ni sifa na majigambo ya radio Times fm.Kama haipo kwenye platiform za mziki hiyo mbovu.
Sasa unajiuliza mauji yanachana vipi nyuzi, yaani tafrani kwakweli.Ahahahaha hakika sielewi kabisa
Mara naskia faza mauji anachana nyuzi
Anaitwa Abubakari Sudi ukipenda muite Prince Amigo.🔥🔥🔥🔥🔥Ile biti ilisukwa mzee, sema yule jamaa aliyeimba before mzee yusufu ana sauti nzuri sana.
Halikuwa tangazo bali sherehe za times fm kuwapongeza kutimiza miaka kadhaa.Ulikuwa sio wimbo wa public au wimbo rasmi, ni wimbo wa tangazo la Radio times ndio maana hata kwenye album za Jahazi zote huo wimbo haupo. Ulikuwa haupigwi station yoyote ya radio zaidi ya Times FM ila kwa vile ulitokea kupendwa ndio watu wakawa wanao na pia ulikuwa unapigwa sana kwenye miziki ya kukesha maarufu Vigodoro huko Uswahilini enzi hizo. Maudhui yote ya wimbo huo ni sifa na majigambo ya radio Times fm.
Na pia ule wimbo uliwakutanisha waimbaji kutoka bendi mbalimbali na sio jahazi pekee.Ulikuwa sio wimbo wa public au wimbo rasmi, ni wimbo wa tangazo la Radio times ndio maana hata kwenye album za Jahazi zote huo wimbo haupo. Ulikuwa haupigwi station yoyote ya radio zaidi ya Times FM ila kwa vile ulitokea kupendwa ndio watu wakawa wanao na pia ulikuwa unapigwa sana kwenye miziki ya kukesha maarufu Vigodoro huko Uswahilini enzi hizo. Maudhui yote ya wimbo huo ni sifa na majigambo ya radio Times fm.
Hapana sio kweli, wimbo ule uliimbwa na Jahazi kuanzia waimbaji hadi wapiga vyombo.Na pia ule wimbo uliwakutanisha waimbaji kutoka bendi mbalimbali na sio jahazi pekee.
Weka huo wimoo wengine hatujawhahi fika huko Dar...Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph.
Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu wale magwiji waliungana kwa pamoja kutoa wimbo wa Juma dede.
Yani Mzee alithibitisha ukubwa wake humu aliwagaragaza vibaya mno wenzake mpaka wengine mpaka leo wanajua ule wimbo ni wa Mzee Yusuph (Jahazi) .
Jamaa humu aliua sana ameimba mpaka kwa kihindi vibe lake sio la nchi hii.
Turudi kwenye pointi ya msingi sasa.
Chukua nyimbo kumi za diamond uone kama unaweza ukazisikiliza zaidi ya mara 5 bila kuchoka .
Huyu Mzee apewe maua yake, hata ipate miaka buku hatokaa atokee yeyote wa kuziba pengo lake.
Kuna muda aliposimama muziki Prince Amigo alijitahidi kujitutumua lakini wapi hakufua dafu.
😂😂😂😂😂 Anayejiamini.....Sasa unajiuliza mauji yanachana vipi nyuzi, yaani tafrani kwakweli.
We goma lako hilo unalielewa kinoma eeh😂😂😂😂😂 Anayejiamini.....
😂😂😂😂😂 Kina steve na ndaro hao kakaWe goma lako hilo unalielewa kinoma eeh