Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Moderators reacted to your post with thanks...
Siyo kweli, mbona mimi nilipanda miti ya miembe, uzazi wa mpango na miashoki mwaka wa kumi na tano sasa na bado ninadunda tu? Miti yenyewe ilishakuwa mikubwa sana.

Bila shaka ni imani za kishirikana ndizo zinazotusumbua na kutawala mindset zetu.

Tubadilike nduguzanguni.
 
Mkuu hiyo ni imani yako uliyorithishwa toka kwa mababu zako.
 
Hivi mti wanaogema magome na kutengeneza mkongo ni upi hapa bongo?
 
Miti ipi ni mizuri zaidi kupanda humu kwenye ma-nyumba tunaishi???
 
Kijijini kwetu mbaazi tumekua tunalima hadi mashamba ya nyumbani na hakukuwahi kua na tatizo lolote kwetu, mi ashoki ninayo kwangu mingi tu na mingine mirefu sana kwasasa with NO problem, shida ni AJE kuhusu miti hi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…