Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Why this discussion ni kwa waafrika, mleta mada ukipiga picha na wachawi ndio nitaamini
Seriously ?!!

Kuwa makini mkuu wangu....

Kila "race" ina tamaduni zake....

Tatizo letu waafrika si wachoyo na si wamimi....ni rahisi kwa mwafrika kujiropokea elimu ya siri na ya kitamaduni ukimnunulia tu "mnazi" wa jero ,ha ha ha
 
This is Africa and its traditions

Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako

1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu

Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio

Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.

Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako

View attachment 3245114
Punguza kuamini ujinga, ukute ni degree holder.
 
Back
Top Bottom