Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha...Hakuna Uchawi wenye Nguvu juu ya wana wa Mungu 😀 Hata wakifanya kafara zao wakichinja nikikuta kondoo kachinjwa naenda kumpika nakula, Nikikuta nazi imevunjwa naenda kupikia mchuzi 😀
Well....
Wiki iliyopita dogo mmoja na jirani yangu msela mbaya amekuta UNGO mpya chini ya mwembe mkubwa ndani yake ulikuwa na NDIZI KISUKARI...kajilia zile ndizi zote na ungo kampelekea demu wake....baada ya masaa 24 wazazi wake waliwaita WACHUNGAJI WA TAG hapo kwao.....
Wewe endelea tu kula hizo nazi za njia panda...ha ha ha