Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Kwanza kabla ya kuandika uzi ulikaa chini na kifikiria, bei ya shamba au nyumba?
Siku nyingine uache kupangia watu vitu vya kufanya au kapanda kwenye mashamba yao au kwenye nyumba zao. Kila mtu ana imani yake kwa imani yako ina maana hiyo lakini kwa watu wengine haipo hivyo kama ulivyo-narrate hapo juu.
""Uchawi si nguvu zisizoonekana, bali ni ujanja wa akili na maarifa ya siri".
 
Mpanga uzazi ndio upi
Kwahiyo Mashamba ya mbaazi yana mapepo ya kutosha na majini pia? 😀
Miembe Moro miembe Tanga. Hii ni hatari sana.

IMANI NI UAMUZI
Reasoning ya watu wa hii nchi ni ya kiwango cha chini sana.Sasa mtu kama huyu ataweza kufanya maamuzi sahihi kwenye mambo ya msingi kama afya yake binafsi na wanaomzunguka,kufanya maaamuzi ya kuchagua viongozi sahihi,kufanya maamuzi ya matumizi sahihi ya choo na utunzaji wa mazingira kiujumla.

Ukiwa na taifa limejaa mambumbumbu unakazi mara kumi katika kuleta maendeleo.Watu wa hivi huwa hawapendi kujishughulisha na ni wafuasi wa mitume na manabii feki😀😀
 
Watu wakiiambiwa kuna miti ukiipanda kwako nyoka hawasogei wanakubali, ila wakiambiwa kuna miti haifai kupanda nyumbani wanajitia ujuaji.
...hakika mkuu....

Matumizi ya akili ni haba kwa watu hao....

Mwenyezi Mungu katuumbia AKILI tufanye tafiti bahati mbaya kuna baadhi ya watu wajanja wanaendelea kuzishikilia na kuzitawala akili za wapumbavu walio wengi duniani.....
 
Bila Shaka huko tanga, morogoro, Mbeya huko kyela kuna wachawi wengi Sana maana kuna miembe ya kutosha, na Vipi huko kusini wanakolima Sana mbaazi bila Shaka wachawi wamepiga kambi mashambani😄😄😄😄
AKILI za kuambiwa
 
Bila Shaka huko tanga, morogoro, Mbeya huko kyela kuna wachawi wengi Sana maana kuna miembe ya kutosha, na Vipi huko kusini wanakolima Sana mbaazi bila Shaka wachawi wamepiga kambi mashambani😄😄😄😄
AKILI za kuambiwa
....fanya tafiti mkuu wangu...

Hukohuko ulikokutaja....fanya tafiti mwamba !
 
Back
Top Bottom