Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

Mimi ni mwafrika....

Hiyo ni kweli mkuu wangu....

2.Mbaazi....

Unaweza kuwa nayo ila isiwe mingi....

Mbaazi unatumika vyema "kupiga" na pia TIBA mbio....hasa masuala ya kichawi na mapepo....muhimu kuzijua tu njia zake.....

Ila "its true" WABOBEVU WA USIKU wanautumia mno....

Shukran mkuu wangu !
Sasa mbona wanasema mbaazi inazuia uchawi hii vipi
 
This is Africa and its traditions

Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako

1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu

Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio

Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.

Chukua tahadhari Jilinde na Imani yako

View attachment 3245114
Kwa hii post wachawi na wanga watakushambulia sana, na hivi serikali inawalinda kwa kusema hakuna uchawi, basi ya na operate freely huku waganga wanaowadhibiti wakihangaishwa na serikali
 
Mleta mada Hatuwezi panda mibuyu nyumbani sio kwa hayo matumizi uliyo orodhesha hapo. Bali ni kwakuwa mbuyu unamizizi mirefu na mikubwa mno na huwa juujuu .

Lakini ungejua kuwa mbuyu ni ingredient moja hatari kwa kutengeneza VAR za miwaya usinge andika huu uzi.

Ungejua pia Mbaazi huondosha maradhi yasiyo onekana kwa vipimo vya kizungu usinge upa ubaya
 
MADA WAPENDAZO MAMODERATORS WA JF😂😂😂😂

Ukiandika vitu vya kufikirisha ubongo wanapita na uzi haraka.Ila andika mapupu kama MAMBO YA USHOGA,UCHAWA,USHIRIKINA NA UCHAWI,KULANA KIMASIHARA hizo mada wala haziguswi🥱

🚨🚨🚨Hi nchi aliyetuloga kafa na kazikwa sayari ya pluto!!!!
 
Ki ufupi watu maskini na watu wenye ujinga ujinga wa kuamini uchawi hawapatani na mazingira( Hawapendi miti).
Nenda uswahili huwezi kukuta hata mti mmoja.. Ukipanda mti ukiwa mkubwa unasakamwa hoo ndo uchawi wake, mara ndo kijiwe cha wachawi .. Watakuja upiga hata misumari ili ufe tuu.

Kwa wenye kujielewa wanajua umuhimu wa miti..

Tunapambana tuongeze Oxygen maana inazidi kupungua we una kuja na mbinu za ajabu eti usipande mitii flani kisa wachawi..
Ingekuwa ni amri yangu watu masikini na wajingawajinga wote ningeamrisha wauliwe😀😀😀

🚨🚨🚨Watu wajinga na masikini ni hatari kuliko hatari yenyewe🤝🤝🤝
 
Ki ufupi watu maskini na watu wenye ujinga ujinga wa kuamini uchawi hawapatani na mazingira( Hawapendi miti).
Nenda uswahili huwezi kukuta hata mti mmoja.. Ukipanda mti ukiwa mkubwa unasakamwa hoo ndo uchawi wake, mara ndo kijiwe cha wachawi .. Watakuja upiga hata misumari ili ufe tuu.

Kwa wenye kujielewa wanajua umuhimu wa miti..

Tunapambana tuongeze Oxygen maana inazidi kupungua we una kuja na mbinu za ajabu eti usipande mitii flani kisa wachawi..
Mimi nikijenga nyumbani kwangu hapatakosa miti na nikikuta jirani kaugusa tutabadiliahana majengo ya serikali 😃
 
Back
Top Bottom