Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

 
DSE wanaruhusu vipi kampuni zilizopo kwenye masoko zinapita Quarter bila kutoa financial zao? Una maana watu wananunua hisa bila kusoma vitabu vya kampuni. Je tuna uwakika gani na valuation za hisa za Tatepa na Precision Airline kama financial zao hazipo published?
 
1. Nafkiri huwa wanaziwasilisha kwenye mamlaka husika za soko na CMSA bila kuwziweka openly tot the public
2.Ili kuzipata inabidi uzilipie ,Ukiingia kwenye App ya DSE kuna kipengere cha huduma za kulipia.
3.Ila matakwa ya kisheria ni kuweka taarifa hizo hadharani
 
Pia anaweza kuingia Hasara ya miliioni 4 kila wiki...
Kwenye biashara unayoisimamia mwenyewe inajulikana kuna faida na hasara sasa haiwezekani kila siku uwe unapata hasara tu inayojirudia halafu hujiulizi unaendelea tu kufanya bila kubadilisha aina ya biashara.
Lakini hata kwenye hisa pia kuna hasara endapo ikitokea kampuni haitengenezi faida na wanahisa pia hawapati kitu hizo hesabu zinazowekwa hapo ni za kinadharia sio actual.
 
1. Ina defeat the purpose ya capital market na kutengeneza information asymmetry. 2. This is wrong, kwenye NYSE unapata financials za tickers zote hata Yahoo finance, Morning Star na site ya SEC ukitoa paid Apps ambazo zina indepth analysis. 3. Investor (firms/retailers) should sue these guys. Inanipa picha kuna uwezekano Mkubwa sana haya makampuni kukwepa kutoa dividends kama hawatoi financials na wanahisa wanaona sawa.
 
Hapa kuna suala la
  1. Serikali kupitia Wizara ya Fedha bado hawapo serious na Mfumo mzima wa Masoko ya mitaji....Tulitakiwa tuwe na makampuni angalau 60 katika hilo soko
  2. Uongozi wa Mamalaka ya Masoko ya mitaji kuzembea....
  3. Uongozi wa Kampuni husika-Mfano..kampuni ya Precision ina wanahisa wakuu wawili ambao ni Marehemu Shirima na Kenyan Airways....mmoja Kafa, mwingine ana hali mbaya kiuchumi....
 
Bora kuwekeza kikoba kinachojielewa
 
Umesema Rostam alimiliki 15% ya hisa zote za vodacom Tanzania. Na sio hisa 15. Jiulize tu, ikiwa wewe kajamba nani unaweza kuwekeza milioni 200 (na haupo hata kwenye orodha ya officials wanaokaa kwenye kikao cha hesabu za kufunga mwaka. Na jina lako hata halitajwi. Vp kwa mtu ambaye anaingia kwenye kikao cha bodi ya wamiliki? Hao wanaomiliki asilimia kadhaa za hisa za kampuni ndio wanaopanga wakuuzie hisa moja kwa bei gani, hiyo hisa yako waipe faida kiasi gani kulingana na kiasi walichotenga kama gawio (ambayo ni sehemu ndogo tu kutoka kwenye faida). Na wanajipangia wao wale bilioni ngapi kama faida ya mwaka, ambapo hujipigia faida zao kwanza ndipo ninyi mpewe kilichobaki.
 
Ahsante kuwasanua wanjonge
 
Ahsante kuwasanua wanjonge
 
Doh mil 200 gawio mwaka mzima mil 3 sasa si bora hyo pesa mtu aweke utt ambapo atapata almost mil 22 kwa mwaka mzima...kwa mwez anapata si chin ya mil 1.8 kwa interest ya 0.99% kila mwezi hyo ni kwa mfuko wa ukwasi au liquid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…