Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Ni upuuzi mkubwa VODA siyo tu inapeleka faida kwenye shughuli za kijamii acheni upuuzi inawekeza kwa wanasiasa na kampeni ya chama tawala na faida nyengine inawekeza kwenye VODAFONE SOUTH AFRIKA.Actually,kabla ya kulaumu,ungejikita kujua why haikuwa inatoa gawio...
i)Vodacom ndiyo kwanza ilikuwa imejiorodhesha kwenye soko la hisa,gharama za kuwa kwenye soko la hisa ni kubwa....
ii)2019/2020 covid ilisumbua kila kampuni,machache yalipona
iii) 2021 ilipeleka faida kwenye shughuli za kijamii
Usiwekeze kwenye kampuni kwa kuangalia gawio tu.
Lakini kasome taarifa za fedha mwaka juzi na jana ,,,Vodacom wametoa gawio.
hi ni kampuni ya kiduwanzi basi tu watanzani tu wanyonge.
Mtu amewekeza milioni 50 toka 2015 mpaka leo hana gawio la kufika milioni 1? WTF.