Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

Aya tutajie hiyo benki inayokupa fixed deposit ya 10%....
Na pili hiyo ndiyo lowest ambayo imepaata kutolewa na Voda within 5 years....
Lakini hapohapo huo mtaji 200M ungekuwa umeshaongezeka thamani kwa zaidi ya coz hisa za Voda zimekuwa zikiongezeka thamani...
Bank karibu zote sasa zinatoa fixed deposit rate ya zaidi ya 10% kwa mwaka.

Naweza kukutajia bank chache kwa kukusaidia, DTB, Azania, TCB, DCB nk.
 
Wakati wewe umekazana na 7% ya fixed deposit ya CRDB...
Wenzako wanapata 12% ya gawio kwa kumiliki hisa hukohuko CRDB...and still kutoka last year mpaka hisa za CRDB zimeongezeka thamani by more than 10%....
Hapo kuna faida zaidi ya 20%
 
Kuna benki ya waalimu MCB -Mwalimu Commercial Bank.

Hii nadhani ndio inayoongoza kwa utapeli kwenye soko la hisa....

Hiza zake hazinunuliki wala kuuzika, mikutano hawafanyi na haijulikani kama wanatengenneza faida au hasara. 😲
Well...unaweza kupata data zao kupitia dalali wako wa soko la hisa....
Au
Ukipakua app ya DSE unaweza pata data kwa kulipia...takribani 20,000
 
greater than hebu tuambie hali ya hisa za NICOL wana hali gani huko?
NICOL ni kampuni ya uwekezaji,ilianzishwa na watanzania flani smart miaka takriban 20 iliyopita....
Mimi kwa mara ya kwanza nilinunua hisa kwao mwaka juzi,ambapo hisa ilikuwa ni tsh 450 lakini mpaka kufika sasa hisa zao zimeongezeka thamani mpaka kufika tsh 750.
  • ni wamiliki hisa katika benki ya CRDB,NMB
  • wamiliki hisa TWIGA CEMENT,TANGA CEMENT,TBL na DSE
  • Tangia 2021 mpaka sasa wamekuwa wakitengeneza faida ya zaidi ya billion 3 kwa mwaka.
  • lakini pia inamiliki kampuni ya Nyama ya Taifa na kampuni ya maendeleo ya uvuvi
 
NICOL ni shida. Gawio mmepata lini kwa mara ya mwisho?
 
NICOL ni shida. Gawio mmepata lini kwa mara ya mwisho?
nimepitia taarifa zao za fedha za tangia mwaka 2019 mhadi 2022,ni mwaka 2019 tu ndipo ambapo hawakutoa gawio...
Binafsi nimeanza kumiliki hisa zao tangia mwaka 2023 ambapo bado hakujafanyika mkutano mkuu wa mwaka ,so kikifanyika nitakujuza.
 
TCC yenyewe vipi?
Hisa zao ni gharama kuliko za makampuni yote DSE,,,
kila Hisa 1 ina gharama ya 17,000tsh ila kumbuka hisa zinauzwa kuanzia 10 ambapo ni 170,000tsh
ila ndiyo kampuni pekee ambalo halikuteteleka kwenye kipindi cha COVID,mana walitoa gawio hadi kipindi hiko,,,,wavuta sigara wana upendo sana.
 
Kanakwamba unafananisha mfumo wa benki na hisa 😂😂😂😂

Ukiona elimu gharama basi jaribu ujinga....sasa wewe unaukumbutia....
Anyway shauri yako,its your life.
Nimekusaidia kukujulisha kwamba hayo mambo mimi nayajua kuliko unavyoyajua wewe, huna ambacho unakijua mimi sikijui unaanza kuleta mipasho tena. Tafta watu wengine wa kuwapa mipasho sio mimi.
 
Hisa zao ni gharama kuliko za makampuni yote DSE,,,
kila Hisa 1 ina gharama ya 17,000tsh ila kumbuka hisa zinauzwa kuanzia 10 ambapo ni 170,000tsh
ila ndiyo kampuni pekee ambalo halikuteteleka kwenye kipindi cha COVID,mana walitoa gawio hadi kipindi hiko,,,,wavuta sigara wana upendo sana.
Gawio Lao liko vipi?
 
Nimekusaidia kukujulisha kwamba hayo mambo mimi nayajua kuliko unavyoyajua wewe, huna ambacho unakijua mimi sikijui unaanza kuleta mipasho tena. Tafta watu wengine wa kuwapa mipasho sio mimi.
ukijua kitu haina ya kusema unajua ,,,knowledge haijichi.....
Kanakwamba unaona mfumo wa Fixed deposit ya Benki ni sawa na Hisa,basi dhahiri hauna unachojua,,,,
yaani Saving account uipambanishe na Investment scheme 😀😀
 
DCB nahisi inaweza kufufuka kuanzia mwakani! Ni expectations zangu tu lakini! 😄
Dah,mi niliudhuria kikao kikuu cha mwaka jana,Bodi yao haina u-serious kabisa...
Yan hawana malengo na wala hawana marketing strategies za kueleweka.

Ila ikitokea CEO mwenye maono akapatikana,itakuwa faster,,,mana Masoko yote yaliyopo katika halmashauri ya Jiji la Dar (Ilala) yanatakiwa yawe yanahudumiwa na hiyo benki.
 
Back
Top Bottom