Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Uwezekano mkubwa itaanguka Jumamosi hii na 70% itaangukia baharini na hiyo 30% itaangukia ardhini.
 
sehemu yoyote ukiona mchina ione sehemu hiyo ni ya balaa!! mfano ukiona mchina au wachina wamepanga jumba kubwa na imepigwa fensi jua humo ndani kuna balaa, vile vijamaa naishindwa niviweke kundi gani, janja janja sana
 
'haionekani popote", 'hakuna nanmna ya kui control sababu imepoteza mawasiliano"
Halafu "IMEPITA MISRI MUDA MFUPI ULIOPITA"
Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje sisi?
 
Hawa wachina hawawezi kupiga sehemu nyeti za U.S kwa kisingizio wamelost controll ya hicho chombo
 
Tangu juzi bado tu.Ndio basi tena hiyo.Tumepona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…