Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Higher gravity iko wapi? Bahraini authorities nchi kavu?
 
tuchukue tahadhari gani?
Tahadhari labda watu wapige calculations kinaweza kuangukia wapi..

Zaidi ya hapo hakuna tahadhari, tuishi maisha yetu tu, likitufika ndio limetufika.
 
Taarifa haieleweki au mimi ndio nashindwa kuelewa?
 
Binafsi Sina uhakika sana kama Kuna failure zozote zimetokea Kwenye kifaa chao, May be they have done it on purpose.

Mpaka sasa Safari za anga zimefanyika nyingi sana. Dunia iko nje ya Learning curve on space travelling. How comes?
Chinese wako reckless hii ni mara ya pili hata mwaka 2018 ilitokea hv hv na ilikuwa same mission kama hii.
 
Ni kwamba rocket hiyo ilikamilisha mission yake yakupereka Satellite huko angani,na satellite hiyo inafanya kazi kama kawaida,
kilichotokea ni yale mabaki ya rocket hutakiwa kurudi duniani kwa kuongozwa na Control system ya ardhini .
 
Elon naye ana test chombo
Screenshot_20210505-170732_1.jpg
 
Back
Top Bottom