Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Binafsi Sina uhakika sana kama Kuna failure zozote zimetokea Kwenye kifaa chao, May be they have done it on purpose.

Mpaka sasa Safari za anga zimefanyika nyingi sana. Dunia iko nje ya Learning curve on space travelling. How comes ?
subiri ripoti itakapotangazwa
 
Ndio kile chombo Cha anga walichokua wanasema China wamepiga hatua Sana!

Sasa huko failure kumetoka wapi? Au Ni hujuma za kimagharibi?
Kimepeleka section ya space station yao kimeifikisha na kilibidi kiwe controlled kidondoke baharini hivyo mission accomplished.
Hata mwaka 2018 hawa wachina ilitokea hivi hivi baada ya kupeleka section nyingine ya space station yao. Ila lazima kitaanguka pacific kikiwa vpande vpande
 
Back
Top Bottom