Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Wachina hamna akili mam.ae zenu mtatuuuua.Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi?
Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16.
Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye ardhi ya Dunia muda wowote katika wiki hii au siku chache zijazo.
Mpaka hivi sasa haijulikani itaangukia wapi kwakuwa haionekani na hamna mawasiliano ya kuiongoza iangukie baharini.
Inakimbia kwa kasi ya kilometer 28000 kwa lisaa na ina uwezo wa kuzunguka dunia yote kila baada ya dakika 90 na kwa mujibu wa ripoti ya Dk Mohammad Said mtaalamu wa maswala ya anga ni:
Kuwa rocket hiyo imefanikiwa kuivuka Misr kwa salama masaa mawili yaliyopita ndani ya dakika 8 na sekunde 40 ikiwa katika urefu wa kilometer 269.
Mwenyezi Mungu atuhifadhi na shari ya waja wake.
Picha hazihusiani na tukio
View attachment 1773999View attachment 1774000
Corona mliyoleta haijaisha, mnaleta janga jingine tena🙆🙆🙆