Chukueni hii kumhusu Kocha Nabi kwani huenda ikaja kutokea baada ya 'Kubuma' huko kwa 'Madiba' Bondeni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu Bingwa na ikoonekana anakomaa (anashinda) Wachezaji Waandamizi wa Klabu wataambiwa na Matajiri wa Timu na Boss Mkuu wachomeshe (wafungwe) ili sababu ya Kumfurumusha Gamondi zipatikane na mwenye Yanga SC yake Nasredinne Mohammed Nabi arejee Jangwani.

Itunzeni hii na nimeandika hapo juu (katika Headline) neno 'Huenda' nikimaanisha linaweza kutokea au lisitokee kwani kwa sasa hata Esperance du Tunis FC nao wana mpango wa Kumsinya Kocha Nabi.

ANGALIZO

Sijamlazimisha yoyote ausome huu Uzi wangu na kwa akina Tomaso (Visokolokwinyo Original) kama unajua huniamini au hunipendi au hunikubali GENTAMYCINE acha kabisa Kuufungua na nenda katika Threads za Watu wako ambao Unawaamini na Unawakubali na waache wale ambao Wananielewa waendelee Kunielewa.

Nimemaliza.
 
Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu le ambao Wananielewa waendelee Kunielewa.

Nimemaliza.
Ila popoma mda mwingine unaona mbali
 
ila we jamaa unakuwaga mpuuzi sana,unamwona nabi ni mgangaa njaa kama wew
 
Yani siku hizi ukija na hadithi za kusadikika mwisho unajihami unawapangia watu do n donts.

Hii habari ni ya kutunga kwa 100%, yani Yanga wajifungishe kisa Nabi?

Umeanza tabia za uongo uongo kama Yericko sasa.
 
we kajamaa kasumbufu sana kwahiyo unataka usemaje dogo?

anyway shikamoo broo Jenta natania tu kamanda ila subiri
kachumbari SC fans wanakuja wakupopoe

kolomental nimekaa paleeeeee!

😎😎😎😎
 
Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu Bingwa na ikoonekana anakomaa (anashinda) Wachezaji Waandamizi wa Klabu wataambiwa na Matajiri wa Timu na Boss Mkuu wachomeshe (wafungwe) ili sababu ya Kumfurumusha Gamondi zipatikane na mwenye Yanga SC yake Nasredinne Mohammed Nabi arejee Jangwani.

Itunzeni hii na nimeandika hapo juu (katika Headline) neno 'Huenda' nikimaanisha linaweza kutokea au lisitokee kwani kwa sasa hata Esperance du Tunis FC nao wana mpango wa Kumsinya Kocha Nabi.

ANGALIZO

Sijamlazimisha yoyote ausome huu Uzi wangu na kwa akina Tomaso (Visokolokwinyo Original) kama unajua huniamini au hunipendi au hunikubali GENTAMYCINE acha kabisa Kuufungua na nenda katika Threads za Watu wako ambao Unawaamini na Unawakubali na waache wale ambao Wananielewa waendelee Kunielewa.

Nimemaliza.
Nabi tayari kapewa ukocha wa yanga princes. Hayo mengine ni ya kwako
 
Unayempanulia 24/7.
Kichwa kikubwa akili huna
img_1_1687976012224.jpg
 
Yani siku hizi ukija na hadithi za kusadikika mwisho unajihami unawapangia watu do n donts.

Hii habari ni ya kutunga kwa 100%, yani Yanga wajifungishe kisa Nabi?

Umeanza tabia za uongo uongo kama Yericko sasa.
Nawe umeanza kuwa Tomaso Kisokolokwinyo?
 
Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu Bingwa na ikoonekana anakomaa (anashinda) Wachezaji Waandamizi wa Klabu wataambiwa na Matajiri wa Timu na Boss Mkuu wachomeshe (wafungwe) ili sababu ya Kumfurumusha Gamondi zipatikane na mwenye Yanga SC yake Nasredinne Mohammed Nabi arejee Jangwani.

Itunzeni hii na nimeandika hapo juu (katika Headline) neno 'Huenda' nikimaanisha linaweza kutokea au lisitokee kwani kwa sasa hata Esperance du Tunis FC nao wana mpango wa Kumsinya Kocha Nabi.

ANGALIZO

Sijamlazimisha yoyote ausome huu Uzi wangu na kwa akina Tomaso (Visokolokwinyo Original) kama unajua huniamini au hunipendi au hunikubali GENTAMYCINE acha kabisa Kuufungua na nenda katika Threads za Watu wako ambao Unawaamini na Unawakubali na waache wale ambao Wananielewa waendelee Kunielewa.

Nimemaliza.
bro nabi nimeongea nae personally kwa lugha yake kaniambia anaenda kwao

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom