Chukueni hii kumhusu Kocha Nabi kwani huenda ikaja kutokea baada ya 'Kubuma' huko kwa 'Madiba' Bondeni

Chukueni hii kumhusu Kocha Nabi kwani huenda ikaja kutokea baada ya 'Kubuma' huko kwa 'Madiba' Bondeni

Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu Bingwa na ikoonekana anakomaa (anashinda) Wachezaji Waandamizi wa Klabu wataambiwa na Matajiri wa Timu na Boss Mkuu wachomeshe (wafungwe) ili sababu ya Kumfurumusha Gamondi zipatikane na mwenye Yanga SC yake Nasredinne Mohammed Nabi arejee Jangwani.

Itunzeni hii na nimeandika hapo juu (katika Headline) neno 'Huenda' nikimaanisha linaweza kutokea au lisitokee kwani kwa sasa hata Esperance du Tunis FC nao wana mpango wa Kumsinya Kocha Nabi.

ANGALIZO

Sijamlazimisha yoyote ausome huu Uzi wangu na kwa akina Tomaso (Visokolokwinyo Original) kama unajua huniamini au hunipendi au hunikubali GENTAMYCINE acha kabisa Kuufungua na nenda katika Threads za Watu wako ambao Unawaamini na Unawakubali na waache wale ambao Wananielewa waendelee Kunielewa.

Nimemaliza.

Wee jamaa kweli kolo
 
Back
Top Bottom