Chuma cha Kizambia 'Baba wa Pasi za Upendo na Mpenyezo' keshatua nchini Kesho Kutambulishwa na kuwemo Safari ya Mbeya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini.

Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma Kisomo na Jumapili kuna Watu wanaenda kupoteana mazima huko Tanga Mkwakwani Stadium Kudadadeki.
 
Hizo pasi zake labda akazipige akikutana na mtibwa au kagera sugar
 
Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini.

Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma Kisomo na Jumapili kuna Watu wanaenda kupoteana mazima huko Tanga Mkwakwani Stadium Kudadadeki.
Tulia tu,sisi yanga hatuna la kusema tunajipanga tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom