Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Sipendi wanawake wasio na watoto, halafu wawe na tumbo ka furushi.Huyu Dad kwa miaka 30 kuita mshangazi hii ni chai ๐
Hongera kwake binti kiziwi nilimuona selfika ni mrembo na nusu๐
Maana ya T 3
1. Titi/Ziwa /nyonyo liwe limejazia
2. Tumbo liwe kubwaa
3. Tako / kalio /kigoda liwe la haja
Huyu Dad kwa miaka 30 kuita mshangazi hii ni chai ๐
Hongera kwake binti kiziwi nilimuona selfika ni mrembo na nusu๐
Maana ya T 3
1. Titi/Ziwa /nyonyo liwe limejazia
2. Tumbo liwe kubwaa
3. Tako / kalio /kigoda liwe la haja
Nakuheshimu sana ujue๐Sasa huyu sio shangazi nia ajuza mkuu. ๐. Hii NIDO ni AI aisee..
Nakuheshimu sana ujue๐
๐๐ kaka hebu acha tumbo bila mtoto hata 1 ni maajabuSipendi wanawake wasio na watoto, halafu wawe na tumbo ka furushi.
Enjoy broSimple and toned is my style
Uliniona wapiMbona hata wewe ni mrembo sana.
Bichwa lako๐๐๐Yes, mshangazi wa kwenda
Ningekua mwanaume ningesema nimesimamishaPole toto subiri mjomba atoe chochote kitu!
View attachment 3590189
Mimi kwa wanaonijua wanaelewa nikiona mdada mzuri namsifia ikibidiWewe kuniheshimu haina maana wewe sio mrembo.