Chuma kinanoa chuma

Chuma kinanoa chuma

Nyoka sio kabisa,Chunya kule lupa nilimwona koboko,nadhani hata hakunikimbiza maana nisingemshinda mbio,ila nilikimbia aisee ule mwendo,ile siku ndio nilijua binadamu tuna uwezo wa kupaa sema tunajiendekeza tu.
 
Labda Leejay49, kama hawa wakijani nawaruhusu waende..

Ila kuna siku ni Mungu asee, umeme ulikatika, natoka ndani kwenda uani nilizunguka nyumba from front door, ile nafika kwenye geti dogo tu nasikia foooo! Nilirudi nyuma haraka sana, kurudi ndani kuchukua tochi jamaa wa kijivu ana unene kama inchi moja hivi asee, nilimkata kata balaa uzuri chepe lilikuwa refu kama yale ya wapakia mchanga kwenye malori hakunifikia kirahisi. Yule alikuwa anafuta penye joto maana ilikuwa kipindi cha mvua
Ase una moyo
 
Nyoka sio kabisa,Chunya kule lupa nilimwona koboko,nadhani hata hakunikimbiza maana nisingemshinda mbio,ila nilikimbia aisee ule mwendo,ile siku ndio nilijua binadamu tuna uwezo wa kupaa sema tunajiendekeza tu.
Umefanya nimecheka sana 😃
 
Back
Top Bottom