Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Imani mfu sana hizi, karne ya 21 kuendelea kuamini haya mambo ni kuendelea kupoteza muda. Km kweli chuma ulete ipo kwann isiende bank?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh mbona hela inapatikana kirahisi kuliko process hizo zote? Ila ingekuwa kumuondoa yeyote labda ningekuwa interested!
 
Wasalaam wanajamvi...!!
Naomba kujua haswa nini maana ya chuma ulete na nini cha kufanya pindi unapokutwa na janga hilo?
 

Ni imani tuu, kwa nini haendi benki,???
 
atafune kitunguu swaumu kabla hajalala
 
Mkuu imani ya dini yaani neno la Mungu haliwezi kudhibiti jini chuma ulete kwa duru zako zibavyosoma?
 
Sasa ni jina ila Yesu pekee.Mkabidhi maisha yako naye atalinda chochote chako.
Jina la Yesu bila imani ni kazi bure!! Lazima uwe MSAFI kiroho ndiyo umwite Yesu ili akusaidie; wengi tu wachafu no mwili na kiroho; sasa haya mapepo wakati unaomba yanakuzomea tu.
 
Daah...sasa ndio nimefumbuka. niliwahi kununua nguo kwenye duka moja, niling'ang'anizwaje kuweka hela juu ya counter?! Kumbe nilionwa chuma ulete! Aisee...
Itakuwa walikuhisi
 
Wasalaam wanajamvi...!!
Naomba kujua haswa nini maana ya chuma ulete na nini cha kufanya pindi unapokutwa na janga hilo?
Dawa ndogo sana chukuwa tura na sindano mzizi wa mbaazi na mzizi wa kivumbsi majani ya msaka uchawi na nipm nikumalizia dawa
 
Wakuu salam sana,

Nina imani kuwa si mara yenu ya kwanza kusikia neno chuma ulete.

Je chuma ulete ni nini?

Wenye ushuhuda wa pesa zao kupotea akiamini ndio chuma ulete atusaidie kutoa ushuhuda aelezee ilikuwaje.
 
Me navyojua chuma ulete ni mwanamke asiye ndugu yako!..labda tusubiri wajuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…