Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mkuu mbona bank hawazikati pembeni si zingechukuliwa na chuma ulete?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakustahi kwa leoWw dogo ni pimbi sana. Yaani ww ndio ulikuwa unajifanya unamjua shetani zaid??ndezi sanaa we dogo na utakula jeuri yako
hela za bank mbona mara nyingi tu zinabebwa sema wanauchubua tu ili wasipoteze wateja.Mkuu mbona bank hawazikati pembeni si zingechukuliwa na chuma ulete?
Good attempt.unashindwa kufikiria logic ndogo tu hiyo
kwa sababu chuma ulete ipo programmed kuiba pesa nzima tu!!
Biti za kike hizo dogo kacheze na dada yakonakustahi kwa leo
kwa heshima ya moderators.
tutakutana kwenye uzi mwingine nikuoneshe kazi.
baridi.Biti za kike hizo dogo kacheze na dada yako
Njoo nikupe joto[emoji23] [emoji23] [emoji23]baridi.
fresh we tamba tu.Njoo nikupe joto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujajitambua bado ww dogo, njoo nikukuze[emoji378] [emoji13]fresh we tamba tu.
Pitia huu uzi wa mkuu mshana jr unaweza ambulia lolote Kuna aina ya watu hawarogekiHivi kwa nini ukitaka pesa yako isibebwe na chuma ulete lazima uichane kidogo kule kwenye pembe ya pesa?