Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Kwanza unahonga mkuu???epuka kutoa chenji ovyo ovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni maombi tu kwa Mungu atazuwia huyo alayeWakuu habari.
Naomba kuuliza kwa anayejua dawa ya kuzuia pesa zisitoke maana nafanya biashara mzigo unaisha ila sioni pesa nahisi kuna mtu ananichezea
Sent using Jamii Forums mobile app
ni imani za kishirikinaWenye maduka wanaogopa sana kugusana vidole pale unavyompa hela
Kila pesa ambayo una mashaka nayo ichane kidogo kwenye ncha.Wakuu habari.
Naomba kuuliza kwa anayejua dawa ya kuzuia pesa zisitoke maana nafanya biashara mzigo unaisha ila sioni pesa nahisi kuna mtu ananichezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kiswahili fasaha "mali bila ya daftari hupotea bila ya habari"Fanya hivi kila hela unayopokea au kutoa iandike kwenye daftari utaiona iingiapo na itokapo Kwa kulinganisha hesabu,chuma ulete haichukui hela iliyohesabiwa.uchukua isiyohesabiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Utakuwa unazidokoa mwenyewe halafu unasahau kama unajiibia