Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

What is Science
is a systematic enterprise that builds and organizes knowledge in the form of testable explanations and predictions ..."science" also refers to a body of knowledge itself, of the type that can be rationally explained and reliably applied

Kwahio mkuu mpaka pale utakapotueleza ni vipi inafanya kazi na kwa method zipi..., hii itaendelea kuwa utapeli na story za kitaa
 
Kiranga alikua na mpango wa kufanya utafiti mwezi wa sita kuhusu haya mambo ya uchawi, sijui kama azma yake ilifanikiwa au la. Chuma ulete huenda nayo ilikua kwenye hadidu rejea zake.

Nafikiri kama alifanya utafiti huo, anaweza akawa na maelezo japo kwa uchache.
 
Last edited by a moderator:
mjomba usifikirie wala kuwaza utakuja fanya utafiti wa uchawi. ni science isiyokuwa na principles either theories zake haziko genuine na uwazi there comes a point need it you ought to prove something u first need to be a witch baba utaweza??
 
mjomba usifikirie wala kuwaza utakuja fanya utafiti wa uchawi. ni science isiyokuwa na principles either theories zake haziko genuine na uwazi there comes a point need it you ought to prove something u first need to be a witch baba utaweza??

nimependa jins ulivyo jibu mkuu hata mie nakibLiana nawe uchaw ni sayans kwani hakuna anachoweza kufanya mwanasayans mchawi hawez tokea enzi wachawi walikuwa wanavyombo vya kupaa angani kWa spid ya ajabu kuasiliana hata gps ila vyombo hiv havifuati prinsple za kifizikia katika uhalisia
 
Wakuu, chuma ulete sina hamu nao! Kuna siku hawa watu wameniliza pesa zangu mchana kweupe mpaka sina hamu nao!
 
Hayamambo yapo jamani.kabisa.na kunawatu.wamelamba mikopo.finca.
nmb.efc Leo wanalia.

leo hiikuna.watu wameanzisha njia za kuchukua pesa za watu

maombi.yangu mwana JF Ukapone na

CHUMA ULETE
 
...bado wanasayansi wanaifanyia uchunguzi
ikiwa proved utaikuta maduka yote ya madawa....
 
Back
Top Bottom