ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Hee kwahiyo mkaa unasaidia nini??
Hee kwahiyo mkaa unasaidia nini??
Hahahaaa hapo ni lazima akatambike kwenye kaburi la babu...Hii makitu Mtwaraimejaa sana, kuna wazee wao ni kahawa tu na bao kila uchao...ukipita anga zao lazima uchumwe! ! Ela yao ikigusa wallet yako hoi.Uanajua wanaokataa sayanc ya kiafrika wakatae tuu ila ipo.. Mimi kuna rakikiyangu alipewa kijiti na babu yake na ila masharti yake kisiguswe na mwanmke anaebleed. Tulikuwa yunasafiri bila hella .. Kwa mfano tunatoa 500 tunarudishiwa na chench.tunaenda hotelin tunakula watu wa2 tunatoa 500 na tulikuwa tukiingi sehemu yenye kinga kijiti kilikuwa kinabadilika rangi hapo hatuingii jamaa alikuja akakosea akachukua dem..bahati mbaya akakigusa ikawa ndio basi tena.
Nasikia wanatumia pia kwenye mazao ya shambani!