Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe na ukubwa gani standard?

Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe na ukubwa gani standard?

Mimi nimejenga master inaukubwa wa 5.3×3.8M²
Kingine ni 4.2×2.8M²
Cha mwisho ni 3.1×4.2M²
Choo ya public ni 5×1.8M²
Choo iliyokwenye master ni ndogo sana. Yenyewe ni 4×1.2M²
Me master ilikuwa na 3.5×4 nilishaezeka, na madirisha tayari. Nimevunja ukuta nikaongeza 2m kuifanya iwe na 6×3.5 japo itakuwa kama darasa. Ila master bedroom has to a be bigger room.

Self bedroom ina 3.5×÷3.5 while normal bedroom 3.5×3

At least now nina amani. Naweza endelea na Finishing
 
Me master ilikuwa na 3.5×4 nilishaezeka, na madirisha tayari. Nimevunja ukuta nikaongeza 2m kuifanya iwe na 6×3.5 japo itakuwa kama darasa. Ila master bedroom has to be bigger room.

Self bedroom ina 3.5×÷3.5 while normal bedroom 3.5×3

At least now nina amani. Naweza endelea na Finishing
Mkuu ukivunja maana yake na linta unavunja? Nafikiria sana kuongeza ukubwa wa choo ya master
 
Naomba nifahamishe. Usumbufu wake ni katika gharama za ujenzi au usumbufu gani unaozungumzia? Nimependa hiyo design
Vyumba vikubwa na vingi.. kama utajipanga pia sio tatizo mkuuu nisikuvunje moyo
 
Duuuu... Hlo chumba ni likubwa sanaaaa..... Unamdanganya mwenzako...

Standard ni 3x3m2 au kama master ni 3.5x3.5m2..

Hyo hapo ndio normal standard... Ila kama unataka bangaroo 4x4m2
Wew ndyo unadanganya master iwe 3x3
 
Weka Mita 5 Kwa 5 , unapata fresh air zingatia pia sebule iwe 6 Mita Kwa 6 sehemu ni mbili za kuenjoy maisha yako mm nikiwa mapumziko nashinda sebuleni asubuhi ad usiku nawatch movie napata fresh air with piece of mind ukikosea hapo nyumba inakuwa kama godown utaenjoy
 
Asante. Mie napenda sana vyumba vya kulala viwe na nafasi ya kutosha. Lakini maximum vyumba 4 vya kulala kwa upande wangu. Ngoja nijipange, Inshaallah Mungu

Asante. Mie napenda sana vyumba vya kulala viwe na nafasi ya kutosha. Lakini maximum vyumba 4 vya kulala kwa upande wangu. Ngoja nijipange, Inshaallah Mungu atafanya wepesi
Vipi umefika atua gani? Imekula bati ngapi?
 
Ukiangalia wadau walivyosema, utagundua ukubwa wa chumba cha kulala hutegemeana na Matumizi,Utamaduni na kipato cha mtu.
UTAMDAUNI
Kuna designs za miji ya Japan na Korea,bedsitter/studio huwa na chumba cha mita 2 kwa 2.

MATUMIZI
Je,chumba cha kulala kwa ajili ya mtoto au mzazo
Je,Chumbani kutakuwa na samani nyingine

KIPATO
Kwa matajiri na watawala, vyumba vya kulala inaweza fika mita 10 kwa 8.

Just fikiria, nishawahi design Nyumba,mjamaa choo chake kina ukubwa wa mita 3 kwa 3.
 
Kwanza kaa na tafakari vifuatavyo...
1.Matumizi ya chumba chako
-utakuwa unalala tu.
-utakuwa una sehemu choo,kubadilisha nguo,na kukaa...?

2.Gharama
-utaweza kukijenga kikiwa kikubwa sana
-Utaweza Jaza samani, mana bila hivyo mwangwi ni lazima.

3.ENEO
-Eneo la kiwanja chako kinaruhusu

Kama majibu ni ndiyo...
Ukubwa uwe mita 4.5 kwa 4.5
Kama siyo ,iwe mita 3.5 kwa 3.5
 
Mimi nimejenga master inaukubwa wa 5.3×3.8M²
Kingine ni 4.2×2.8M²
Cha mwisho ni 3.1×4.2M²
Choo ya public ni 5×1.8M²
Choo iliyokwenye master ni ndogo sana. Yenyewe ni 4×1.2M²
Choo mita tano...aisee wafu mna mihela ya kuchezea
 
Ukiangalia wadau walivyosema, utagundua ukubwa wa chumba cha kulala hutegemeana na Matumizi,Utamaduni na kipato cha mtu.
UTAMDAUNI
Kuna designs za miji ya Japan na Korea,bedsitter/studio huwa na chumba cha mita 2 kwa 2.

MATUMIZI
Je,chumba cha kulala kwa ajili ya mtoto au mzazo
Je,Chumbani kutakuwa na samani nyingine

KIPATO
Kwa matajiri na watawala, vyumba vya kulala inaweza fika mita 10 kwa 8.

Just fikiria, nishawahi design Nyumba,mjamaa choo chake kina ukubwa wa mita 3 kwa 3.
[emoji23][emoji23]choo yake ndio ukubwa WA room yangu ya kulala[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Weka Mita 5 Kwa 5 , unapata fresh air zingatia pia sebule iwe 6 Mita Kwa 6 sehemu ni mbili za kuenjoy maisha yako mm nikiwa mapumziko nashinda sebuleni asubuhi ad usiku nawatch movie napata fresh air with piece of mind ukikosea hapo nyumba inakuwa kama godown utaenjoy
18ft za Sebure tu hiyo nyumba inakuwa na ukubwa gani ?
 
Weka Mita 5 Kwa 5 , unapata fresh air zingatia pia sebule iwe 6 Mita Kwa 6 sehemu ni mbili za kuenjoy maisha yako mm nikiwa mapumziko nashinda sebuleni asubuhi ad usiku nawatch movie napata fresh air with piece of mind ukikosea hapo nyumba inakuwa kama godown utaenjoy
Chumba 15ft kwa12ft ni kikubwa mno.
 
Kunakuwa na;
Sehemu ya kitanda ft 13X12. Hapa ni kitanda tu na dressing table baasi. Hakuna makorokoro mengine.

Min-sitting room ft 10X8 hii itakuwa kama ofisi binafsi na kunywea wine na shemeji yenu kama hatutaki bughuza. Mara kadhaa tutakula tunda hapo.

Chumba kidogo cha kabati la nguo(WC) kwenye uelekeo wa washroom. Kabati langu hapa, kabati la mchuchu pale.
Washing room saafi.

Hiyo ndio master bed room ya Muhasibu Mwandamizi. Kama una ubavu chukua hiyo idea mkuu. Kula maisha ndio haya haya
 
Back
Top Bottom